Kanuni ya uandishi wa habari wa tija
Somo hili linalenga kukupa kanuni ya uandishi wa habari wa …
What you'll learn
Maswali muhimu ambayo uandishi wa habari wa tija huyajibu
Kanuni ya uandishi wa habari wa tija
Dhana ya uandishi wa habari katika nchi ya kidemokrasia
Kazi na hatua za mwandishi wa habari wa tija
Jinsi ya kuandaa maudhui yenye ushawishi
Dhana ya uandishi wa habari wa Tija, haiba na kimo cha mwandishi wa habari TMF inayemtengeneza
Somo hili linalenga kukupatia ufahamu wa dhana ya uandishi wa …
Jinsi ya kuzalisha maudhui ya uandishi wa habari wa tija (P3)
Baada ya kujifunza jinsi ya kufanya maandalizi (P1) na kutengeneza …
What you'll learn
Katika somo hili utajifunza yafuatayo
1. Mambo makuu 5 unayotakiwa kuyajua ili kutengeneza dokezo na pichi ya habari za uchunguzi
2. Mambo 11 unayotakiwa kujua ili kutengeneza mpango kazi wa habari za uchunguzi
3. Kazi kuu 3 za mwandishi wa habari za uchunguzi
4. Mbinu kuu 3 za kufanya uandishi wa habari za uchunguzi
5. Mambo 15 unayotakiwa kujifunza ili kuzalisha maudhui ya uandishi wa habari za uchunguzi
Jinsi ya kuandaa mpango kazi wa uandishi wa habari za uchunguzi (P2)
Somo hili linalenga kukufunza jinsi ya kuandaa mpango kazi wa …
What you'll learn
Katika somo hili utajifunza
1. P tatu za mwandishi wa habari wa tija
2. Umuhimu wa kuwa na mpango kazi wa uchunguzi
3. Jinsi ya kueleza tatizo la kiuchunguzi
4. Jinsi ya kutengeneza malengo na maswali ya msingi
5. Maana ya hadhira na aina ya vyanzo vya habari ya uchunguzi
6. Jinsi ya kutengeneza gharama ya kazi ya uchunguzi
7. Zana za kutumia wakati wa kufanya kazi ya uchunguzi
How to become a Media Viability Consultant: The Requirements
This is an introductory package for Experts desiring to offer …
Basics of Consulting: Definition, concepts and practical aspects
This package aims to equip viability experts interested to consult …
Consulting in Media: How to help Media Institutions address legal and regulatory issues
Compliance to Legal and regulatory requirements in a media house …
What you'll learn
The traits of a viable media house and legal and regulatory requirements
State of media houses in relation to legal and regulatory requirements with case studies
How to help media houses address legal and regulatory issues
Consulting in media: How to help Media outlets level up quality of content
The quality of content available to a nation’s citizens is …
What you'll learn
Traits of a media house that is viable in terms of production of quality content
Understanding the state of media and journalism content in the media - the case of small and medium sized radio station in Tanzania
How to help media outlets level up quality of their media and journalism content - consulting processes and tools
- 1
- 2