Kanuni ya uandishi wa habari wa tija
About This Course
Somo hili linalenga kukupa kanuni ya uandishi wa habari wa tija. Bila kujua kanuni hii na kuiweka katika matendo inaweza kumuwia vigumu mtu kuwa mwandishi wa habari wa tija. Katika somo hili utajifunza mambo ishirini na saba (27) yaliyo kwenye kanuni ambayo ukiyajua na kuyafanyia kazi kwa muda wa kutosha utaweza kuwa mwandishi wa tija. Hili ni somo msingi kati ya masomo saba msingi ambayo unahitaji kuyasoma ili kushiriki vema katika programu za mafunzo na malezi ya TMF lakini pia kuwa mwandishi wa habari wa tija.
Learning Objectives
Maswali muhimu ambayo uandishi wa habari wa tija huyajibu
Kanuni ya uandishi wa habari wa tija
Dhana ya uandishi wa habari katika nchi ya kidemokrasia
Kazi na hatua za mwandishi wa habari wa tija
Jinsi ya kuandaa maudhui yenye ushawishi
Target Audience
- Waandishi wa habari,
- Wahariri,
- Walimu wa uandishi wa habari
- Wanafunzi wa uandishi wa habari
- Walezi wa waandishi wa habari
Curriculum
1 Lesson2h 30m
Kanuni ya uandishi wa habari wa tija
Mada hii inalenga kukupatia kanuni ya uandishi wa habari wa tija. Kanuni hii itakusaidia kujua kila kitu unachohitaji kukifanya ili kuwa mwandishi wa tija
Kanuni ya uandishi wa habari wa tija51:55
Jaribio
Your Instructors
Student Feedback
Reviews (5)
Ulikuwa ni wakati mzuri kuongeza maarifa zaidi kuhusu uandishi wenye tija
Kozi hii imekuwa muhimu kwangu na Nimeongeza kitu