Fahamu Mzunguko wa Uwajibika, Andika Habari za Kuwajibisha

Uandishi wa habari wa tija hufanya kazi yake kwa maslahi ya umma, kazi yake kuu huwa ni kuuwezesha umma kuwa na ufahamu wa kutosha juu ya mambo mtambuka kwa maisha yake na kuuwezesha kudai uwajibikaji.

Ili mwandishi aweze kufanya uandishi huu hasa uandishi wa uwajibikaji wa fedha za umma anahitaji kuelewa mzunguko mzima wa uwajibikaji kupitia ukaguzi wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali. Ni muhimu sana kuuelewa mzunguko huu ili kufuatilia kila hatua na kuja na habari za kina na zenye tija.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *