Page ARCHIVE

TANGAZO LA MAOMBI YA RUZUKU NA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI

Je, wewe ni Mwandishi wa Habari za uchunguzi au habari zenye kugusa maslahi ya umma? Tanzania Media Foundation inakualika kujiandikisha katika mafunzo ya uandishi wa Habari za uchunguzi na kuwasilisha...