Uandishi wa habari za uchunguzi: Maana, umuhimu na jinsi ya kutafuta wazo la uchunguzi
About This Course
Somo hili la uandishi wa habari za uchunguzi litakufunza maana, umuhimu na jinsi ya kutafuta wazo la habari za uchunguzi. Somo hili ni muhimu sana kwa anayeanza kujifunza uandishi wa habari za uchunguzi. Pia kwa anayetaka kunufaika na programu ya malezi (nurturing program) ya TMF somo hili ndilo kianzio. Mkufunzi Ndimara Tegambwage katika somo hili anagusia mbinu za msingi ambazo ukizitumia utapandisha kiwango chako cha taaluma ya uandishi wa habari.
Learning Objectives
Material Includes
- Video ya uandishi wa habari za uchunguzi
Target Audience
- Waandishi wa habari chipukizi
- Wanafunzi wa uandishi wa habari
- Walimu wa vyuo vya uandishi wa habari
- Walezi (Mentors) wa waandishi wa habari
- Waandishi wa habari wazoefu wanaopenda kujifunza
Curriculum
Maana, umuhimu na jinsi ya kutafuta wazo la uandishi wa habari za uchunguzi
Maana, umuhimu na jinsi ya kutafuta wazo la habari za uchunguzi15:10
Jaribio
Your Instructors
Student Feedback
Reviews (4)
The course added some knowledge to me about investigative stories and how to get the idea, it was a good match for me.
somo ni zuri sana, binafsi nimeelwa nini natakiwa kufanya katika kuandika habari za uchunguzi hasa katika kutafuta wazo la habari za uchunguzi