Uandishi wa Habari za Uchunguzi: Jinsi ya Kuandika Wazo la Habari
About This Course
Baada ya kujifunza somo juu ya maana, umuhimu na jinsi ya kutafuta wazo la habari za uchunguzi, Somo hili linalenga kukufundishi jinsi ya kuandika wazo la habari. Baada ya somo hili utaweza kuandika wazo lenye ubora na vigezo vinavyotakiwa na TMF, lakini pia na taasisi mbali mbali ambazo husaidia waandishi wa habari kuandika habari zenye maslahi kwa umma.
Learning Objectives
Katika somo hili utajifunza yafuatayo:
1. Jinsi ya kutambua tatizo la kiuchunguzi kisayansi
2. Jinsi ya kuandika kwa maneno machache wazo la habari lenye kueleweka
3. Mifano mbali mbali ya mawazo ya habari
Material Includes
- Video yenye mafunzo ya somo lote
- Mifano ya mawazo ya habari
Target Audience
- Waandishi wa habari wachanga,
- Wanafunzi wa uandishi wa habari
- Waandishi wa habari wazoefu wanaopenda kujifunza zaidi
- Walimu wa waandishi wa habari
Curriculum
1 Lesson1h
Jinsi ya kuandika wazo la habari
Somo hili linalenga kukufundisha mbinu za jinsi ya kuandika wazo la habari kabla ya kuandika pitch au andiko la wazo la habari.