Uandishi wa Habari za Uchunguzi: Jinsi ya Kuandika Pitch

TMF
Last Update December 17, 2022
4.86 /5
(7)
77 already enrolled

About This Course

Somo hili linalenga kukufundisha jinsi ya kuandika andiko la wazo la habari yaani Pitch. Hili ni andiko lenye kuelezea wazo lako la habari kwa kina. Katika somo la jinsi ya kuandika wazo la habari ulijifunza jinsi ya kutumia maneno machache (100) kueleza tatizo au jambo unalotaka kulifanyia kazi. Hilo lilikuwa ni dokezo tu. Somo hili linakuleta kwenye hatua muhimu katika uandishi wa habari za uchunguzi. Ukijipatia umahikli wa kuandika pitch utakuwa umefanikiwa sana. Uandishi mzuri wa pich utakufanya kufanya kazi na mashirika mbali mbali yenye kuwezesha waandishi wa habari. Jifunze na uweke katika matendo mbinu utakazozipata katika somo hili. Karibu!

Learning Objectives

Mpaka mwisho wa somo hili utakuwa umejifunza
1. Mbinu za kuandika andiko (Pitch) la wazo la habari
2. Mambo makuu tisa (9) ambayo hutumika kupima ubora wa andiko la habari
3. Mfano wa andiko la habari

Target Audience

 • Waandishi wa habari wachanga
 • Wanafunzi wa uandishi wa habari
 • Waandishi wazoefu wanaopenda kujifunza
 • Waalimu wa vyuo vya uandishi wa habari
 • Walezi (mentors) wa waandishi wa habari

Curriculum

1 Lesson1h 30m

Mbinu za kuandika andiko la wazo la habari (Pitch)

Somo hili linakufunza mbinu za kuandika andiko la wazo la habari.
Jinsi ya kuandika andiko la wazo la habari36:28
Jaribio

Your Instructors

TMF

4.91/5
14 Courses
32 Reviews
667 Students
See more

Student Feedback

4.9
7 Ratings
86%
14%
0%
0%
0%

Reviews (7)

Kozi hii inadadavua hatua muhimu za kuandika pitch ya habari

ASANTE KWA SOMO ZURI

ni nzuri lugha inaeleweka ila kama itawezekana kupata soft copy ya somo itakuwa nzuri zaidi kwa ajili ya rejea

Ahsante saana mkufunzi Binafsi uelewa umeongezeka kwa kiasi

Nashukuru sana nimeongeza uelewa mkubwa juu ya uandihi wa Tija na kujua mambo ya msingi kuzingatia kwenye kuandika Pitch ya Habari

Thanks imeongeza uelewa wangu kwa kiasi kikubwa juu ya uandishi wa TIJA

Hongera kwako Mkurugenzi wa TMF binafsi nimeogeza vitu vingi Kwa kujifunza hapa kizuri zaidi napata na certificate hapahapa. Congratulations 👏

Write a review

Free
Level
Beginner
Duration 1.5 hour
Lectures
1 lecture
Select the fields to be shown. Others will be hidden. Drag and drop to rearrange the order.
 • Image
 • SKU
 • Rating
 • Price
 • Stock
 • Availability
 • Add to cart
 • Description
 • Content
 • Weight
 • Dimensions
 • Additional information
Click outside to hide the comparison bar
Compare