Dira na Dhamira
Dira:
Jamii iliyo wazi ambayo wananchi wanaweza kupata habari, kutoa maoni yao na kujadili maswala
Dhamira:
Vyombo vya habari vilivyo huru, vya aina mbalimbali nchini Tanzania, kwa kuwezesha habari za uchunguzi na kuwezesha tafakuri na mafunzo jadidi.
