Bado tunapokea: Pendekezo za Ruzuku za Mashirika
Hamna mwisho waku tuma fomu za Ruzuku za Mashirika.
TMF inakaribisha nyumba za vyombo vya habari, Mashirika ya Uraia, NGOs na mashirika ya ufunzi ambazo zimesajiliwa Tanzania Bara na Zanzibar kuleta fomu za maombi ya ruzuku kama habari zaozita kuza uandishi wa habari za uchunguzi and uandishi wa haabri za matakwa ya jamii ndani ya nchi.
Unaweza kusoma zaidi kuhusu Ruzuku za Mashirika na kupata Vigezo vya maondi ukibonjeza kurasa ya Ruzuku. Pia unaweza kupata fomu za maombi kwenye kurasa hiyo.
Mwanzo wa Matukio:
01/02/2010Mwisho wa Matukio:
05/01/2011