Msukumo

Je unahitaji msukumo?

Tumebandika makala za waandishi wakiAfrika zenye ubora.
Tafathali tutafute kama ungependa kuona makal nyingine hapa.

Richard M. Kavuma ni muandishi Mganda aliyeshida tuzo la CCN Multichoice mshindi wa mwaka 2007 kwa makala zake kuhusu maendeleo ya Milenia (MDG)
Makal izi zina husika na juhudi za nchi ya Uganda kuyafikia hay amaendeleo. Zina patikana kwaku bonyeza hapa.

FAIR (forum of Africa Investigation Reporters) Baraza la Waandishi wa Uchunguzi Afrika la mwaka 2008 ina sehemu maalum ya makala zinazo husu na usafirishaji haramu wa binadamu Africa. Ripoti hizi saba, ziitwayo A Better Life Elsewhere: Human traffic in and from Africa zina tuo ujuzi kuhusu hii biashara ya kiunyama and ina pepeleza maswala yaki jamiii na ya kiuchumi. Bonyeza hapa kupata repoti hii.

Muandishi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas alishida The Kurk Schork Award in International Journalism na halaiki za makala kuhusu usafirishaji haramu wa binadamu kwenye mipaka ya nchi. Mahakimu waliona makala za Anas niza "uvuto na ujasiri" na zilionesha mfano mzuri wa "uwandishi  ulio leta mabadiliko ya ukweli ya maendeleo." Kwasababu ya utafiti wake, na ushirikiano wake na waweka sheria, NGOs na waandishi wengine, waNaigeria 17 waliokolewa.  Unaweza kusoma makal hii kwaku bonyeza hapa.

Massive exports deplete fish stocks in Lake Victoria ni makala inayo pepeleza biashara haramu na uvuvi uliozidi kwenye ziwa Victoria. Bonyeza hapa kupata makala hii. 

Umoja wa Afrika Mashariki ni moja ya sehemu hambazo zimehathilika na madawa bandia yakutibu malaria ambazo bado zipo kwenye orodha za madawa kwenye famasia binafsi. Mada iitwayo East Africa: Region Awash With Fake Malaria Medicine inapakina kwaku bonyeza hapa.