Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) ni chombo kilichoanzishwa kuhamasisha uhuru na ubora wa vyombo vya habari Tanzania kwa kuwawezesha waandishi na vyombo vyao kuandika habari za uchunguzi na zinazokidhi matakwa ya wananchi wa kawaida.