Events by year

Training on Mobile Phone Reporting

The Tanzania Media Fund (TMF) in collaboration with the Voices of Africa Media Foundation will conduct a six-day training on Mobile Phone Reporting to five reporters, starting March 22 to 27.

The training, to be held at TMF offices, is aimed at equipping the reporters with the know-how on using mobile phones in reporting and hence promoting the use of New Media.

For more details on mobile phone reporting click here.    

Mwanzo wa Matukio: 
22/03/2010
Mwisho wa Matukio: 
27/03/2010

Bado tunapokea: Pendekezo za Ruzuku za Mashirika

Hamna mwisho waku tuma fomu za Ruzuku za Mashirika.

TMF inakaribisha nyumba za vyombo vya habari, Mashirika ya Uraia, NGOs na mashirika ya ufunzi ambazo zimesajiliwa Tanzania Bara na Zanzibar kuleta fomu za maombi ya ruzuku kama habari zaozita kuza uandishi wa habari za uchunguzi and uandishi wa haabri za matakwa ya jamii ndani ya nchi.

Mwanzo wa Matukio: 
01/02/2010
Mwisho wa Matukio: 
05/01/2011

RUZUKU KWA WAANDISHI WA HABARI NA VYOMBO VYA HABARI 2010

Mfuko wa Vyombo vya Habari (Tanzania Media Fund – TMF) unawakaribisha waandishi wa habari na vyombo vya habari kutuma maombi ya ruzuku kwa mwaka 2010.

TMF NI NINI?

TMF ni Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania, unaokusudia kukuza uhuru na ubora wa vyombo vya habari kwa kujikita zaidi katika habari za maslahi ya umma na uchunguzi. TMF inaamini kuwa vyombo huru vya habari ni roho ya jamii huru ya kidemokrasia.

Mwanzo wa Matukio: 
28/01/2010