Wanahabari waaswa kuleta umoja
Serikali ya Tanzania imeeleza kufurahishwa kwake na nia nzuri ya kuwepo Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) na kuhimiza kuwa chachu ya kuhakikisha umoja, mshikamao na amani vinaendelea kutawala nchini badala ya kuwa chanzo cha kufadhili au kutoa ruzuku kwa vyombo vya habari ambavyo havina mwelekeo wa kutunza tunu hizo za Tanzania. Soma hapa: http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=15642&cat=kitaifa
| Attachment | Size |
|---|---|
| swahiliform | 73.9 KB |
