Wito wa maombi kwa mara ya tatu 2010 - tarehe ya mwisho ni Agosti 15
Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (Tanzania Media Fund – TMF) unawakaribisha waandishi
wa habari na taasisi za habari kutuma maombi ya ruzuku.Mwisho wa kutuma maombi kwa ruzuku za
mikoani ni tarehe 15/ 08/ 2010.Baada ya tarehe hiyo tutaendelea kupokea maombi
ya ruzuku za chap chap na za taasisi tu.
| Attachment | Size |
|---|---|
| FOMU YA MAOMBI - RUZUKU BINAFSI.pdf | 102.63 KB |
