Nafasi za kazi
Mfuko wa vyombo vya habari Tanzania(TMF) wanatafuta afisa wa mipango. Je una uzoefu katika sekta ya vyombo vya habari? Je unapenda kufanya kazi na jamii yenye ubunifu na inayobadilika? Tafadhali tazama katika matangazo yetu na utume maombi yako.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe31 Mai.
| Attachment | Size |
|---|---|
| PO_May 2009.pdf | 100.51 KB |
