Maskani

TMF inahamasisha uhuru na ubora wa vyombo vya habari Tanzania kwa kuwawezesha waandishi kuandika habari za uchunguzi na zinazokidhi matakwa ya wananchi wa kawaida.

TMF inaamini kuwa vyombo huru vya habari ni roho ya jamii huru na ya kidemokrasia. TMF itawezesha waandishi na vyombo vya habari kuboresha kazi zao kwa:

  • Kutoa ruzuku kwa waandishi mmoja mmoja na mashirika yanayojihusisha na habari kupitia ushindani wa michanganuo;
     
  • Kuwawezesha washiriki waliopata ruzuku kujifunza kwa vitendo, kushirikiana na waandishi waliobobea vile vile fursa yakupata uhusiano na watu mbalimabli.
Home Page Banner Image

TMF haivumilii RUSHWA kamwe. Tupe taarifa kwa siri kuhusu viashirio vya rushwa kwa ruzuku za TMF kupitia barua pepe: concern@tmf.or.tz au simu: +255 22 2664306/07.